Monday, 4 July 2016

histaria ya chuo

Chuo cha muleba vocational training centre kilianzishwa mwaka 2012 .Kina fundisha kozi zifuatazo katika kozi moja ya ICT ambacho kinaunganisha short course na long course. Long course miaka miwili na short course miezi tisa tu.